Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 4: Wakati. Telling the time > Lesson 3: Saa ngapi?

    

RUKIA NA PAULO NI MARAFIKI. WAO WANAZUNGUMZA JUU YA RATIBA ZAO ZA SIKU (Rukia and Paulo are talking about their daily schedules).

Paulo: Hodi.

Rukia: Karibu.

Paulo: Hujambo?

Rukia: Sijambo. Habari za asubuhi?

Paulo: Salama tu. Na wewe je?

Paulo: Salama.

Paulo: Kesho utakwenda kazini saa ngapi?

Rukia: Nitakwenda kazini saa moja kamili asubuhi. Na nitarudi nyumbani saa tisa kamili alasiri.

Paulo: Mimi nitakwenda kazini saa tatu kamili. Na nitarudi nyumbani saa kumi na moja alasiri. Haya tutaonana baadaye.

Rukia: Haya kwaheri.

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.