Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 4: Wakati > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Andika jawabu sahihi kwa kuchagua kutoka (a) mpaka (f). (Write the correct responses (from a to f) in the space provided and click your mouse anywhere outside the field.)

Sasa ni saa ngapi kwa Kiswahili?

1) 9:30 am
  1. saa kumi na moja na dakika hamsini jioni
  2. saa kumi na mbili na dakika arobaini na tano magharibi
  3. saa tatu na nusu asubuhi
  4. saa tano na dakika kumi asubuhi
  5. saa nane na dakika ishirini usiku
  6. saa mbili na dakika kumi na tano usiku
2) 8:15 pm
3) 6:45 pm
4) 11:10 am
5) 5:50 pm
6) 2:20 am


 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.