Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 5: Kununua na Kuuza. Buying and Selling > Diagnostic test
Click here to hear it
  • Listen to the story
  • Fill-out the blanks with the words you hear
  • Answer questions
  • Write a brief narration about what you listen
  • Mail the answers to your teacher.

    ZOEZI LA SABA
    Dukani

    Bwana Mwinyimali ana duka lakini yeye kazi dukani. Ni mfanya kazi wake, Bibi Shauri, anafanya kazi dukani. Kila siku duka saa mbili asubuhi na analifunga saa sita ili arejee nyumbani kula cha mchana. Bibi Shauri analifungua duka tena saba mchana mpaka saa usiku. Watu wengi kuja dukani kwa bwana Mwinyimali. Duka lake ni na lina vitu vyingi. Kuna na vyakula na mahitaji ya nyumbani. Bibi Shauri ni mfanyakazi mzuri. Anapenda na watu na kuwakaribisha. Bibi Kijakazi ni yake bibi Shauri. dukani kila siku baada ya kazini ili anunue mahitaji yake na na rafiki yake.

    Maswali
    On-line exercise: Answer the following questions and send them to your instructor.
    1. Mwenye duka ni nani?
    2. Nani anafanya kazi dukani?
    3. Kwanini mfanya kazi anafunga duka mchana?
    4. Bibi Kijakazi huja kufanya nini dukani kwa Mwinyimali?
    5. Dukani kuna nini?
    6. Bibi Shauri anafanya kazi saa ngapi kwa siku?
    7. Write a brief note about what you heard.
    Enter your instructor's email:
    Your name:
    Your email:

     

    © African Studies Institute, University of Georgia.