Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu II (Education II) > Diagnostic Test

Unit 7: Diagnostic Test

Jibu maswali yote kisha yatume majibu yako kwa mwalimu

I. Panga maneno haya katika mafungu matatu yanayohusiana kwa kubonyeza kifungo "chagua". Kila fungu lina maneno manne.

       
Fungu la kwanza: Sare
Fungu la pili: Masomo
Fungu la tatu: Mradi
       

II. Andika neno la kitenzi (verb) kutokana na maneno ya nomino (noun). Fanya sentensi kwa kutumia maneno yote mawili.
 
Kwa mfano:

1) Lengo/Kulenga:
Lengo la wanafunzi ni kufanya mtihani vizuri. Wanalenga kuufanya mtihani huu mwisho wa mwaka.

2) Cheza/Kucheza: Mchezo wa mpra ni maarufu. Unaweza kucheza mpira wa miguu.

 
1. mafunzo
2. masomo
3. msisitizo
4. mkutano
5. ujuzi
III. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya mfumo wa elimu katika nchi yako.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.