Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu II > Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi.

1. Katika shule za watoto wadogo Zanzibar, mafunzo ya watoto yanaegemea Uislam. KweliSi kweli
2. Katika shule za watoto wadogo, watoto pia hujifunza kusoma na kuhesabu. KweliSi kweli
3. Madhumuni ya shule za watoto ni kuwaandaa watoto kwa masomo ya sekondari. KweliSi kweli
4. Katika shule za watoto wadogo, watoto wenye miaka saba hadi minane wanaweza kuanza shule. KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.