Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu II > Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza kisanduku sahihi.

1. Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wana umri wa miaka mine. KweliSi kweli
2. Katika shule ya watoto wadogo, kuna walimu ishirini na mbili. KweliSi kweli
3. Katika shule ya watoto wadogo, kila darasa lina walimu wawili. KweliSi kweli
4. Wanafunzi wa mwaka wa pili wanakwenda shule mchana. KweliSi kweli
5. Katika shule ya watoto wadogo, wanafunzi wote wanavaa sare. KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.