Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Shule za Watoto > Lesson 1:

    

SHULE ZA WATOTO WADOGO 

Watoto wenye umri wa miaka minne hadi sita wanaweza kuanza shule. Madhumuni ya madarasa ya watoto wadogo ni kuwaandaa kuanza masomo ya darasa la kwanza.

Sasa tunatembelea shule ya watoto kisiwani Unguja. Kwa kuwa misingi yake ni ya kiislamu, mafunzo ya watoto hawa yanaegemea sana uislamu. Lakini watoto hujifunza pia kusema, kusoma, kuandika na kuhesabu.

© African Studies Institute, University of Georgia.