Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu II > Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la Tatu

Chagua jawabu sahihi.

  1. Shule ya Bakathir ipo _______________

  a. Zanzibar
   
  b. Dar-es-Salaam
   
  c. Morogoro
   
  2. Katika shule ya Bakathr, misingi ya madarasa ni ___________

  a. Uislam
   
  b. kusoma
   
  c. kuandika
   
  3. Katika shule ya Bakathir, walimu wote ni ___________

  a. wanawake
   
  b. wanaume
   
  c. wazee
   
  4. Katika shule ya Bakathir, mkutano wa sala unaongozwa na _________

  a. mwalimu wa zamu
   
  b. mwalimu wa darasa
   
  c. mwalimu mkuu
   
  5. Katika utamaduni wa dini ya Kiislamu, nafasi ya wanawake ni __________ na nafasi ya wanaume

  a. tofauti
   
  b. sawa sawa
   
  c. sawa
   

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.