Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu II > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza kisanduku sahihi.

1. Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam hutoa shahada mbalimbali. KweliSi kweli
2. Wanafunzi wote wa chuo kikuu cha Dar-es-Salaam ni Watanzania KweliSi kweli
3. Katika chuo kikuu cha Dar-es-Salaam, wanafunzi wengi wanatoka nchi za jirani KweliSi kweli
4. Katika chuo kikuu cha Dar-es-Salaam, walimu wote ni wananchi KweliSi kweli
5. Katika chuo kikuu cha Dar-es-Salaam, kuna walimu kutoka Ulaya KweliSi kweli

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

 

 

© African Studies Institute, University of Georgia.