Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu II > Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la Sita

Chagua jawabu sahihi.

  1. 1. Kuna aina _______ za meko

  a. nne
   
  b. tatu
   
  c. mbili
   
  2. Meko ya ________ hutumia mkaa kidogo

  a. mkaa
   
  b. kuni
   
  c. kisasa
   
  3. Meko ya kuni hutumia kuni _______

  a. nyingi
   
  b. kidogo
   
  c. sana
   
  4. Lengo la mradi wa meko ni kuwafundisha ________ matumizi ya meko

  a. wanaume
   
  b. wanawake
   
  c. wananchi
   
  5. Mradi wa meko utasaidia kuhifadhi _____

  a. kuni
   
  b. mkaa
   
  c. mazingira
   

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.