Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 7: Elimu ya Juu > Lesson 5:

    

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU 

Sasa chuo kikuu cha Dar-es-Salaam hutoa shahada mbalimbali kwa wanafunzi wake. Wanafunzi wengi ni watanzania. Wachache wanatoka nchi za jirani kama Kenya, Uganda, Malawi na Msumbiji. Wengine wanatoka nchi za Afrika magharibi kama Nigeria, Ghana na wengine hutoka nchi za Ulaya na Amerika. Walimu wengi pia ni wananchi. Wao pia walipata shahada zao hapa au vyuo vikuu maarufu Ulaya na Amerika. Kuna walimu kutoka Ulaya katika vitivo vya sayansi, hasa kitivo cha uhandisi.

© African Studies Institute, University of Georgia.