Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 10: Kujistarehesha (Relaxation) > Diagnostic Test

Unit 10: Diagnostic Test

Jibu maswali yote. Kisha tuma majibu kwa mwalimu wako. - Answer all questions and email the answers to your instructor.
I. Katika nafasi uliyopewa, andika maana ya maneno haya kwa kuchagua kutoka A mpaka F.
Kikundi cha kwanza. Kikundi cha pili.
1. Mashuhuri
A. Nguo za namna moja
2. Kasi
B. Kutia mkazo
3. Sare
C. Kuendeleza
4. Sisitiza
D. Kujulikana
5. Dumisha
E. Asili
6. Jadi
F. Kwa haraka

II. Andika neno la kitenzi (verb) kutokana na maneno ya nomino (noun) uliyopewa. Fanya sentensi kwa kutumia maneno yote mawili.

Kwa mfano: Lengo kulenga

Lengo la wanafunzi ni kufanya mtihani vizuri. Wanalenga kuufanya mtihani huu mwisho wa mwaka.

1. mashindano
2. mazoezi
3. mapumziko
4. mchezo
5. mlio
III. Kwa kawaida unafanya nini ili kujistarehesha? Ukipata nafasi ya kwenda Tanzania utajistarehesha vipi? Andika insha ya ukurasa mmoja.
Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.