Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 10:Kujistarehesha (Relaxation) > Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi.

1. Kwa kujistarehesha, watu wengine huenda kucheza au kutazama mpira wa miguu. KweliSi kweli
2. Mchezo wa ragbi ni maarufu sana katika sehemu nyingi za Afrika. KweliSi kweli
3. Mchezo wa mpira wa vikapu ni mashuhuri sana katika sehemu nyingi za Afrika. KweliSi kweli
4. Mchezo wa soka ni mashuhuri sana huko Amerika. KweliSi kweli
5. Mchezo wa ragbi ni mashuhuri sana huko Australia. KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.