Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 10: Kujistarehesha (Relaxation)> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la Pili:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. Timu moja ya netiboli imevalia sare ya na nyekundu
  1. buluu
  2. mazoezi
  3. mgeni
  4. kijani
  5. mashindano
2. Timu za netiboli zinajiandaa kwa
3. Timu za netiboli zinafanya ya mwili
4. Kabla ya mashindano, wachezaji wa netiboli wanatambulishwa kwa wa heshima
5. Timu nyingine ya netiboli imevalia sare ya na nyeusi.

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.