Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 10: Kujistarehesha (Relaxation) > Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la Tatu

Chagua jibu sahihi kutoka a mpaka c

  1. Lugha ni chimbuko la _______________

  a. utamaduni
   
  b. siasa
   
  c. historia
   
  2. Ngoma ya msewe huchezwa huko ___________

  a. Dar-es-Salaam
   
  b. Unguja
   
  c. Nairobi
   
  3. Ngoma ya msewe huchezwa na ___________

  a. wanawake
   
  b. wanaume
   
  c. wanawake na wanaume
   
  4. Utamaduni pia unazingatia _________

  a. nyimbo
   
  b. ngoma
   
  c. nyimbo na ngoma
   
  5. Katika ngoma ya msewe wanawake

  a. huvaa kikoi
   
  b. hufunga kanga kiunoni
   
  c. huvaa kofia
   

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.