Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 10:Kujistarehesha (Relaxation) > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la Nne

Ni kweli au Si kweli? Bonyeza mshale sahihi.

1. Ngoma ya kiini macho huchezwa katika sherehe za mazingaombwe. KweliSi kweli
2. Zamani, ngoma ya kiini macho ilichezwa na kila mtu. KweliSi kweli
3. Ngoma za kiini macho zilianza kuchezwa katika sherehe za kisiasa kabla ya mapinduzi ya Unguja KweliSi kweli
4. Kikundi cha utamaduni cha taifa ni sehemu ya wizara ya elimu na utamaduni. KweliSi kweli
5. Kikundi cha utamaduni cha taifa kinawawakilisha Wazanzibari wote. KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.