Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 10: Kujistarehesha (Relaxation)> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la Tano:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. Watu wengi hupenda kula chakula kilichopikwa
  1. wanawake
  2. kujistarehesha
  3. siku
  4. nyumbani
  5. utamaduni
2. Uhusiano wa kifamilia ni sehemu muhimu ya wa waafrika
3. Kwenda mgahawani ni namna ya
4. Familia hukaa pamoja na kula chakula cha
5. wanaweza kwenda mgahawani wakati wa sherehe au siku za mapumziko.

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.