Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 12: Afya (Health) > Diagnostic Test

Unit 12: Diagnostic Test

Jibu maswali yote. Kisha tuma majibu kwa mwalimu wako - Answer all questions and email your answers to your instructor.
I. Katika nafasi uliyopewa, andika uhusiano wa maneno haya kwa kuchagua kutoka A mpaka F.
Kikundi cha kwanza. Kikundi cha pili.
1. Kutibu
A. Kupata mtoto
2. Wagonjwa
B. Homa inayotokana na mbu
3. Kujifungua
C. Aina ya mti shamba
4. Uzazi wa majira
D. Kumhudumia mgonjwa na kumpa dawa
5. Malaria
E. Kupanga wakati bora wa kuzaa
6. Muarubaini
F. Watu ambao wana matatizo ya kiafya
 
II. Mama waja wazito hupata huduma gani katika kituo cha afya ya kisasa huko Tanzania? Andika maelezo mafupi.

III. Andika maoni yako juu ya uganga wa jadi.


IV. Watu wanafanya nini katika nchi yako kupata huduma za afya? Andika insha ya ukurasa mmoja.


Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.