Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 12:Afya (Health) > Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Ni sawa au si sawa? Bonyeza mshale sahihi.

1. Wagonjwa wengi huwategemea waganga wa jadi. KweliSi kweli
2. Baadhi ya wananchi wanaamini zaidi matibabu ya jadi. KweliSi kweli
3. Wganga wa jadi hawawezi kutoa matibabu ya awali. KweliSi kweli
4. Mganga wa jadi anaweza kumshauri mgonjwa kutafuta matibabu ya kisasa KweliSi kweli
5. Mganga wa jadi hafundishi utamaduni wa uganga wa jadi. KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.