Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 12:Afya (Health) > Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Ni sawa au si sawa? Bonyeza mshale sahihi.

1. Ilala ni wilaya mojawapo katika mkoa wa Dar-es-Salaam KweliSi kweli
2. Katika kituo hakuna daktari mkuu msaidizi. KweliSi kweli
3. Katika kituo cha Ilala, akina mama wajawazito wanapimwa uzito, damu na mkojo KweliSi kweli
4. Baada ya kujifungua, akina mama hawapewi mafunzo ya afya KweliSi kweli
5. Akina mama waja wazito wanashauriwa kwenda kituoni mapema KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.