Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 12:Afya (Health) > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la nne

Ni sawa au si sawa? Bonyeza mshale sahihi.

1. Baadhi ya wagonjwa hulazwa katika kituo cha Ilala. KweliSi kweli
2. Wagonjwa wakizidiwa hupelekwa Muhimbili KweliSi kweli
3. Hospitali ya Muhimbili ni hospitali kuu. KweliSi kweli
4. Katika wadi ya watoto kuna wagonjwa wengi KweliSi kweli
5. Ili kupunguza joto, mtoto anakandwa mwili na maji ya moto KweliSi kweli
 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.