Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 12: Shughuli Mbalimbali (Different Activities)> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano:

Jaza nafasi kwa kuchagua jawabu sahihi kutoka a mpaka e.

1. 1. Taasisi ya madawa asili ni ya chuo kikuu cha Dar-es-Salaam.
  1. Muhimbili
  2. sehemu
  3. inachunguza
  4. kiungo
  5. 1972
2. Taasisi ni baina tiba za jadi na tiba za kisasa.
3. Kitivo cha tiba cha chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kiko
4. Taasisi ilianza mwaka
5. Taasisi miti shamba.

 

Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

© African Studies Institute, University of Georgia.