Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 13: Desturi za Arusi > Diagnostic Test

Unit 13: Mtihani huu una sehemu tatu:

I. msamiati uliotumika katika mlango huu.
II. matumizi ya maneno katika sentensi.
III. insha juu ya mada kuu ya mlango huu
I. Msamiati. Fananisha neno katika kundi la A na neno katika kundi la B linalokwenda pamoja katika matumizi. Kama mfano wa kwanza. Maneno yote yametumiwa katika somo la kwanza mpaka la sita katika mlango wa 13.
A
B
1.Kujitanda
a. mrembo
2.Kufunga ndoa
b. leso
3.Kuandaa
c. wageni
4.Kujipamba
d. msikiti
5.Kutumbuiza
e. chuo
6.Kukaribisha
f. nyota
7. Kumeremeta
g. nyimbo
8. Kupata shahada
h. chakula

 

II. Sentensi. Chagua maneno matano (5) kutoka A. Tumia kila neno katika sentensi yako mwenyewe ambayo itaonyesha maana kamili.

 
1.
2.
3.
4.
5.
III. Insha. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya mada ya arusi. Unaweza kuandika muhtasari wa arusi za Tanzania halafu ukafananisha na arusi za sehemu unayotoka.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.