Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 13: Desturi za Arusi> Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Nani anavaa kofia kichwani?

2. Nani anajifunga ushungi kichwani?

3. Nani anahudhuria sherehe ya Bwana arusi?
4. Wageni hukaa wapi?

5. Wageni wanakula vipi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.