Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 13: Desturi za Arusi> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Bibi arusi amefanya nini ili kuwa mrembo?

2. Sherehe ya Bibi arusi hufanywa wapi?

3. Sherehe huanza vipi?

4. Nani anahudhuria sherehe ya Bibi arusi?
5.Ndoa hufungwa wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.