Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 13: Desturi za Arusi> Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Katika sherehe hii kaka wa Bibi arusi anafanya nini?

2.Bibi arusi amekaa wapi?

3. Bwana arusi na Bibi arusi wanapewa nini?4. Watu hucheza ngoma gani?

5. Nyimbo za taarab zinatowa maelezo gani?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.