Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 13: Desturi za Arusi> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la tano

Sikiliza maelezo. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Bibi arusi anapewa wasia na nani?

2. Wasia unatoa ushauri gani?

3. Kuingia katika ndoa kumefananishwa na nini?


4.Msichana hufuata hatua zinazopendekezwa na nani?
5. Kwa nini mtoaji wasia anasema hana wasi wasi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.