Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Desturi za Arusi> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Sikiliza maelezo. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1.Bwana arusi amevaa nini?

2.Bwana arusi amefuatana na nani?

3.Jamaa ya Bwana arusi wanamsubiri nani?


4. Jamaa ya Bwana arusi wanafanya nini kupitish wakati?
5. Wanawake wamevaa nini?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.