Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 13: Desturi za Arusi> Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Bibi arusi amechelewa kwa muda gani?

2. Kwanini Bibi arusamechelewa?

3. Jamaa ya Bibi na Bwana arusi wanajibizana vipi?


4. Jamaa ya Bwana arusi wanaimba nyimbo gani?
5. Bibi arusi amefananishwa na nini?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.