Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi > Diagnostic Test

Unit 14: Mtihani huu una sehemu tatu:

I. msamiati uliotumika katika mlango huu.
II. matumizi ya maneno katika sentensi.
III. insha juu ya mada kuu ya mlango huu
I. Msamiati. Fananisha neno katika kundi la A na neno katika kundi la B linalokwenda pamoja katika matumizi. Maneno yote yametumiwa katika somo la kwanza mpaka la sita katika mlango wa 14.
A
B
1.Kutwanga.
a. hamira
2.Kukuna.
b. unga
3.Kupakua
c. nyama
4.Kunywa
d. kisamvu
5.Kuumua
e. chai
6.Kuchoma
f. maandazi
7. Kuchunga
g. chakula
8. Mifugo
h. nazi


 

II. Sentensi. Chagua maneno matano (5) kutoka A. Tumia kila neno katika sentensi yako menyewe ambayo itaonyesha maana kamili.

 
1.
2.
3.
4.
5.
III. Insha. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya mada ya mapishi na vyakula. Unaweza kuandika muhtasari wa mapishi na vyakula vya Tanzania halafu ukafananisha na mapishi na vyakula vya sehemu unayotoka.



Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.