Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi> Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Dada Aisha anafanya nini?

2. Kisamvu ni nini?

3. Kwanza Dada Zainab anafanya nini?
4. Dada Zainabu anatengeneza tui vipi?
5. Dada Aisha anasafisha kuku vipi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.