Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Familia ya Bwana Mwinsongo imefanana vipi na familia ya Bwana Ayubu?

2. Wanawake hufanya nini wakati wanapopika?

3. Familia ya Mwinsongo wanapika chakula gani?
4. Familia ya Mwinsongo wanapata mchicha wapi?
5. Familia ya Mwinsongo wanapata nyama wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.