Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi> Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Nani anapakua chakula?

2. Chakula kinapakuliwa wapi?

3. Familia ya Bwana Ayubu watakula chakula gani?

4. Kwanini kuna ukoko juu ya wali?
5. Familia ya Bwana Ayubu wanakula wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.