Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Andika vifaa vitano vya kupika mkate wa ufuta.

2. Inabidi kuufanya nini unga kabla ya kuutia hamira?

3. Inabidi kutumia nini kwa kuchoma mkate wa ufuta?

4. Mbegu gani zinanyunyizwa juu ya mkate?
5. Kitu gani kinapakwa juu ya mkate ili usiwe mkavu?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.