Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 14: Mapishi> Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Andika vifaa vinavyotumiwa kupika maandazi?

2. Unatumia kitu gani kuchunga unga?

3. Inabidi mchanganyiko ufanye nini?

4. Kabla ya kuchoma maandazi, Dada Zainabu huufanya nini mchanganyiko?
5. Maandazi huchomwa kwa kutumia nini?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.