Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa > Diagnostic Test

Unit 15: Mtihani huu una sehemu tatu:

I. msamiati uliotumika katika mlango huu.
II. matumizi ya maneno katika sentensi.
III. insha juu ya mada kuu ya mlango huu
I. Msamiati. Fananisha neno katika kundi la A na neno katika kundi la B linalokwenda pamoja katika matumizi. Kama mfano wa kwanza. Maneno yote yametumiwa katika somo la kwanza mpaka la sita katika mlango wa 15. 

A
B
1.Kusherehekea
a. maswali
2.Kufanya.
b. pwani
3.Kusoma
c. mlima
4.Kusikika
d. sikikuu
5.Kuuliza
e. mashairi
6.Kupanda
f. siasa
7. Vyama
g. maandamano
8. Bandari
h. duniani


 

II. Sentensi. Chagua maneno matano (5) kutoka A. Tumia kila neno katika sentensi yako mwenyewe ambayo itaonyesha maana kamili.

 
1.
2.
3.
4.
5.
III. Insha. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya mada ya siasa. Unaweza kuandika muhtasari wa hali ya siasa katika Tanzania halafu ukafananisha na hali ya siasa ya sehemu unayotoka.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:


 

© African Studies Institute, University of Georgia.