Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa> Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Hii ni sherehe ya sikukuu gani?

2. Tanzania ilipata uhuru wake mwaka gani?

3. Chama cha Tanu kilianzishwa mwaka gani?
4. Sherehe ya Sabasaba husherehekewa vipi?
5. Kwa nini maandamano ya 1993 ni tofauti?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.