Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Chama cha CCM kilizaliwa mwaka gani?

2. Vyama gani viwili viliungana kufanya CCM?

3. Chama cha Zanzibar kilikuwa chama gani?
4. Waandamanaji wanatoka wapi?

5. Waandamanaji wamevaa nini?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.