Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa > Lesson 2:

    

CHAMA CHA CCM

Maandamano ya SabaSaba mwaka 1993 yalikuwa na madhumuni ya kuimarisha chama cha CCM (Chama cha Mapinduzi). Chama cha CCM kilizaliwa mwaka 1977 baada ya chama tawala cha TANU, Tanzania Bara na chama tawala ASP cha Zanzibar kuungana.

Sasa tujiunge na wananchi hawa katika maandamano yao. Hawa ni wananchi kutoka mitaa mbalimbali ya Dar Es Salaam. Wamevaa sare mbalimbali za kichama na CCM.

© African Languages Program, University of Georgia