Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa> Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Vijana wanafanya nini?

2. Shairi linatoa sifa gani za Watanzania?

3. Kuna mito ya aina gani katika Tanzania?


4. Taja mifano ya mazingira ya Tanzania ambayo yanajulikana sana duniani?
5. Watu gani hawafai Tanzania?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.