Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Nini maana ya enzi na enzi?

2. Mshikamano wa Watanzania ni mshikamano gani?

3. Jibu la chama ni nini?

4. Nia ya chama ni nini?

5. Watu wa Tanzania ni watu wa wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.