Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa > Lesson 4: Hide transcript

    

Nyimbo za siasa

Mshikamano wetu ni wa enzi na enzi
Mshikamano wetu ni wa enzi na enzi

Si wa kuiga bali ni wa damu
Si wa kuiga bali ni wa damu

Umoja wetu ndiyo jibu la chama chetu
Chama cha Mapinduzi, eeh

Umoja wetu ndiyo jibu la chama chetu
Chama cha Mapinduzi eeh

Nia yetu ni kuinua hali ya uchumi
Kwa watu wa bara na visiwani

=========
Kwaya ya vijana wa CCM inawatumbuiza waandamanaji.

© African Languages Program, University of Georgia