Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Ndugu Kolimba anafanya nini?

2. Watu gani wamehudhuria sherehe hii?

3. Washiriki wengi wanatoka wapi?

4. Makamo wa rais ameongeza nini katika sherehe?

5. Makamo wa rais amesifiwa vipi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.