Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 15: Siasa> Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Kwanini wapanda pikipiki walitembea vijijini?

2. Mheshimiwa gani anasomewa risala?

3.Wapanda pikipiki wametembea mikoa mingapi?

4. Msafara wa wapandaji pikipiki ulianza tarehe gani?
5. Msafara ulichukua siku ngapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.