Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 17: Utalii > Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Kuna mbuga kubwa ngapi katika Tanzania?

2. Wafanya kazi wa wizara gani hutunza mbuga hizi?

3. Mbuga ya Manyara iko wapi?

4. Watalii wanaombwa wasifanye nini?

5. Tai wanapenda kukaa wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.