Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 17: Utalii > Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Kwa nini twiga wanaweza kula majani ya juu kabisa katika mti?

2. Kwa nini nyumbu wanakaa kwa vikundi?

3. Tembo anatumia mkonga wake kufanya nini?

4. Tembo anatumia pembe zake kufanya nini?
5. Ndege gani huogelea katika ziwa Manyara?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.