Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 17: Utalii > Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Makumbusho ya Bagamoyo yanaonesha nini?

2. Magofu ya Kaole yanachunguzwa na nani?

3. Magofu ya Kaole yanalindwa na nani?

4. Magofu yanalindwa wakati gani?

5. Taja kazi mbili za Profesa Kejeli?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.