Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 17: Utalii > Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Mji wa Malindi uko wapi?

2. Mji wa Malindi unajulikana kwa kitu gani?

3. Nyumba za wageni zimejengwa vipi?

4. Kuta za hoteli zimepambwa vipi?
5. Taja faida za mnazi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.