Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 17: Utalii > Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Bustani ya mapumziko iko wapi?

2. Wafanyi biasharaa wa aina gani wanafanya biashara katika bustani?

3. Wafanyi biashara wanauza vyakula gani?4. Wapumzikaji huona nini majini?

5. Watu hufanya nini wakati wanapopumzika?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.