Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 17: Utalii > Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Mlima Kilimanjaro una urefu wa futi ngapi(Kwa maneno)?

2. Wakati mzuri wa kupanda mlima Kilimanjaro ni wakati gani?

3. Kwa nini wapandaji mlima Kilimanjaro hupendelea kupita njia ya Marangu?

4. Kwa kawaida mtu anaweza kuchukua siku ngapi kufika kileleni?
5. Wapandaji mlima husaidiwa vipi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.